Chris achukizwa na Jada, amtaka aache kumuongelea

Chris achukizwa na Jada, amtaka aache kumuongelea

Mchekeshaji kutoka nchini Marekani amechukizwa na kitendo cha aliyekuwa mke wa Will Smith, Jada Smith kuendelea kumtaja kwenye mambo yake huku akimtaka mwanamama huyo kulitoa jina lake mdomoni mwake.

Hayo yote yametokana na siku mbili zilizopita Jada kuzungumza na jarida la People akidai kuwa Chris aliwahi kumuomba aende naye mtoko.

Hivyo kwa mujibu wa DailyMail.com, Chris hajapendezwa na kauli hiyo ya Jada kuendelea kumuongelea na kumuingiza kweye mambo yake na Smith huku akimtaka aache kutaja ba afute jila lake kwenye mdomo wake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags