Chino alia na wasanii wanaomfungia vioo

Chino alia na wasanii wanaomfungia vioo

Kwa kawaida ‘dansa’ na mwanamuziki wa #Bongofleva Chino Wanaman sio muongeaji lakini kwa hili ameamua kulia na wasanii ambao hawam-sapoti licha ya kipindi cha nyuma kumtumia katika kazi zao.

Chino kupitia Instastory yake ameandika ujumbe huo uliokuwa ukieleza amejifunza jambo kubwa nchini haswa kwa baadhi ya wasanii ambao wamesahau kabisa jasho alilolitoa kwa ajili ya kuwafanikishia majambo yao lakini wanashindwa kuonesha upendo katika jambo lake huku akiwatwanga na swali lililokuwa likieleza

“Mnatufunza nini au mnataka tuishije na nyinyi?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags