CASA EN EL AIRE NA VITANDA VYA ANGANI

CASA EN EL AIRE NA VITANDA VYA ANGANI

Na Habiba Mohammed

Watu wangu wa kula bata, kama kawaida hii ni wiki nyingine ambapo tunakutana ili kujua sehemu mbalimbali za ndani na nje ya nchi ambapo mtu wangu unaweza kwenda kurelax na kuspend a good time.

Wiki hii kwa mara ya kwanza nakuvusha mpaka nchi za watu bwana na leo tunakutana kule nchini Colombia.

Ebwaaana sasa Hawa wabunifu tena mmmmmh! Wamepitiliza maana kila siku ubunifu mpya kuvutia watalii. Basi bhana unaambiwa huko nchini Colombia Kuna hoteli imeongeza ubunifu kuvutia wateja wao yaani watalii kwa kutengeneza vitandaa vya bembea juu ya nyaya, ifahamike kwamba kuna umbali kutoka chini hadi kwenye hizo nyaya.

Hoteli hiyo inajulikana kama ‘casa en el aire’ inapatikana katika milima na kama hauna roho ngumu hata usithubutu kukaribia, ila kama you are up for adventure, this is the place to be.

Ayaaaa wale wenzangu wa utalii ungekuwa wewe ungekubali kulala juu ya hicho kitanda. Dondosha comment yako utueleze ubunifu huo umeupa asilimia ngapi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags