Cardi B: Shabiki alidhani nitaenda jela

Cardi B: Shabiki alidhani nitaenda jela

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Cardi ameendela kufunguka kuhusiana na tukio la kumpiga shabiki na mic wakati akitumbuiza katika club ya Drai’s Beach.

Kupitia mahojiano yake na The Breakfast Club rapper huyo aliulizwa swali na mtangazaji kama alijutia kumpiga shabiki na mic, mwanadada huyo alifunguka na kueleza kuwa jambo hilo amewaachia polisi yeye hakutaka kujihusisha nalo  kwa sababu aliyempiga na mic alidhani kuwa Cardi angeenda jela.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags