Cardi B amuonesha cha mtema kuni aliyemchafua Offset kwa usaliti

Cardi B amuonesha cha mtema kuni aliyemchafua Offset kwa usaliti

Nyota wa muziki kutoka nchini Mrekani Cardi B, awatolea uvivu wanaotengeneza uvumi juu ya mume Offset wake kwa lengo la kuharibu ndoa yake.

Cardi B ameweka wazi kuwa wakili wake tayari amepeleka barua kwa mtu aliyetengeneza tattoo ya uongo kwenye mwili wa mtu asiyefahamika na kudai kuwa ni Offset kwa lengo la kumchafua mume wake ili aonekane amemsaliti na mwanamke mwingine.

Cardi B amesema kupitia mtu huyo mmoja ambaye amepokea barua atakuwa mfano kwa wote wanaomchafua katika mitandao ya kijamii kwani anaenda kushitakiwa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags