Cardi B adai sababu ya kurusha mic, shabiki alikiuka makubaliano

Cardi B adai sababu ya kurusha mic, shabiki alikiuka makubaliano

Rapper kutoka Marekani Cardi B amedai sababu ya kumrushia shabiki mic ni kukiuka makubaliano na kummwagia maji usoni. Mwanamuziki huyo amedai kuwa kutokana na hali ya joto aliyokuwa akihisi siku hiyo aliwaomba mashabiki wammwagie maji mwilini na sio kwenye uso.

Lakini shabiki huyo mmoja hakuwa amefata maagizo badala ya kummwagia mwilini alirusha maji hadi kufika kwenye uso wa Cardi, kutokana na kukiuka maagizo hayo ndipo akaamua kumrushia kipazasauti.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags