Burna Boy na Rema washikilia bango kuikimbiza Afrobeats

Burna Boy na Rema washikilia bango kuikimbiza Afrobeats

Msanii wa muziki kutoka nchini #Nigeria, #BurnaBoy ameshinda tuzo ya msanii bora wa Afrobeats kwenye Tuzo za muziki za Billboard mwaka 2023 zilizotolewa usiku wa Novemba 19.

Burna Boy ameshinda tuzo hiyo ya msanii bora wa Afrobeats katika tuzo za muziki za Billboard za 2023 kwa Afrika, huku Rema na Selena Gomez pia waondoka na tuzo ya wimbo bora kupitia wimbo wa ‘CalmDown’.

Tuzo za muziki za Billboard za 2023 zilijumuisha vipengele 71 ambapo zilitangazwa online.
.
.
.
#MwananchiScoop
#Burudika nasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post