Burna Boy ajizawadia gari la Bilioni 1.3

Burna Boy ajizawadia gari la Bilioni 1.3

Ebwana eeh!! moja kati ya stori ambayo imeleta gumzo huko mitandaoni bwana ni kuhusiana na Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria Burna boy ambaye amejizawadia gari la Bilioni 1.3 za kitanzania.

Aisee gari hiyo aina ya Lamborghin  aina ya Novitec Edition 2022 yenye thamani yan dola za kimarekani 608,151.5 ambazo ni sawa na bilioni 1.3 kwa pesa ya Kitanzania.

Hatari sio pouwa bwana hivyo ndivyo Burna boy alivyoufungua mwaka 2022 tuambie kwa upande wako mdau wewe umeuanza vipi?.

Comment hapo chini kupitia www.mwananchi scoop.co.tz.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags