Brown Mauzo kwenye penzi jipya

Brown Mauzo kwenye penzi jipya

Baada ya mwanamitindo Vera Sidika kumtambulisha mpenzi wake mpya mara baada ya kuachana na mzazi mwenzie Brown Mauzo, hatimaye Brown naye ‘ame-post’ picha ya mrembo kupitia Instastory yake huku akimficha sura na kopa.

Ambapo baadhi ya mashabiki wakieleza kuwa huwenda picha ya mwanadada huyo aliyo-post Brown ikawa ndiyo mpenzi wake mpya wa sasa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags