BREAKING NEWS: Bi Sonia AFARIKI!

BREAKING NEWS: Bi Sonia AFARIKI!

Katika hali ya kushtusha, Msanii wa filamu nchini Tanzania Farida Sabu maarufu kwa jina la  'Bi Sonia' amefariki dunia.

Muigizaji huyo ambaye alijulikana sana kupitia kikundi cha Kaole Sanaa group amefariki leo, mjini Zanzibar ambapo alikuwa anauguzwa na mwanae.

Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji, Chiki Mchoma amethibitisha taarifa hizo, huku msiba ukitarajiwa kufanyika huko huko Zanzibar.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Apumzike kwa amani.






Comments 2


  • Awesome Image

    Mungu ailaze roho yako salama mama.sisi sote njia ni hiyohiyo

  • Awesome Image

    Mungu ailaze roho yako salama mama.sisi sote njia ni hiyohiyo

Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags