Wanaotoa taarifa za ukatili walindwe

Wanaotoa taarifa za ukatili walindwe

Taarifa kutoka kwa Spika wa Bunge , Dkt. Tulia Ackson,ambapo amesema wanaotoa taaarifa za ukatili walindwe.

Dk Tulia ameyasema wakati akiwa anahutubia bunge tukufu la jamhuri ya muungano wa Tanzania na kusisitiza hili.

  “Tunataka kupata taarifa nzuri na mbaya ili tuchukue hatua. Mtoa taarifa ikiwa hajakosea Sheria zetu namna ya kuzituma kwa Mamlaka basi alindwe ili tuendelee kuzipata hizo taarifa. Kama haitakuwa hivyo hatutaweza kuzipata na matokeo yake Ukatili utaendelea.”

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post