Kwa mujibu wa utafiti uliyochapishwa katika tovuti ya ‘Research Gate’ umebaini kuwa watu wanaotembea haraka wanaviwango vya chini vya furaha.
Hata hivyo kulingana na tafiti hizo za kisaikolojia, watu wanaotembea haraka wanatajwa kuwa na malengo maalum, wenye maamuzi ya haraka, na wenye nia ya kufanikiwa.
Aidha imebainika kuwa kiwango chao kidogo cha furaha pengine ni kutokana na tabia za introvert (kutokujichanganya na watu au jamii).
Ingawa uharaka wao huleta mafanikio lakini kufanya hivyo kunaweza kuzuia utulivu kwa mtu husika na kutokuridhika na jambo.
Leave a Reply