Mama Diamond afuta urafiki na Zuchu

Mama Diamond afuta urafiki na Zuchu

Baada ya hekaheka za mitandaoni , zikimuhusisha mama wa mwanamuziki Diamond , kupewa zawadi na aliyekuwa mpenzi wa mwanaye , sasa kwenye ukurasa wa Instagram wa mama huyo anaonekana kufuta urafiki na Zuchu.

Kufuatia hilo wengi wamekuwa wakidai pengine zawaidi iliyotumwa na Tanasha ndiyo chanzo cha yote, lakini kwa upande wa Zuchu ambaye ni mpenzi wa sasa wa Diamond  bado amem-follow mama Dangote.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post