Blac Chyna aanza safari ya kuondoa mwili wa bandia

Blac Chyna aanza safari ya kuondoa mwili wa bandia

Alooooh! Watu siku hizi wanapenda kuwa natural bwana, ni kuhusiana na mwanamitindo kutoka US Blac Chyna ambaye ameianza safari ya upasuaji kuondoa maumbile yote ya bandia kwenye mwili wake na kurudisha muonekano wake wa zamani.

Mwanamitindo huyo amewaonya wanaoweka maumbile fake yanayotokana na silcon kwani unaweza pata matatizo mengi ikiwemo kuumwa, kufa na kuchukua muda mrefu wakati wa upasuaji wa kuondoa silcon.

Chyna amekamilisha upasuaji wa kuondoa matiti na makalio ya bandia, akisema kituo kinachofuata ni Uso "Face Fillers."






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags