Bi Sonia kuzikwa kesho Zanzibar

Bi Sonia kuzikwa kesho Zanzibar

Kwa taarifa ambazo zimetufikia hivi punde kutoka kwa Mwenyekiti wa bongo movie Tanzania Chiki Mchoma wakatia kiwa katika mahojiano ya kutoa taarifa za msiba alisema kuwa Farida Sabu maarufu kama Bi Somia kuzikwa kesho majira ya saa 7

Tunatuma salamu za pole kwa ndugu, jamaa na marafiki pia kwa Bongo movie wote, Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags