Benpol kufanya ngoma na Navy Kenzo

Benpol kufanya ngoma na Navy Kenzo


Niaje wanangu wa Mwananchi Scoop leo kwenye gumzo mitandaoni, Ben poul aweka wazi kutoa ngoma na kundi la muziki linalo fahamika kama Navy Kenzo.

Ben pol ameweka wazi mipango hiyo baada ya kuombwa na shabiki wa muziki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ben alimjibu shabiki huyo kwa kumueleza “Ni Wasanii Wangu Pendwa Pia Marafiki Zangu, Naamini Itakuja Soon” alisema Benpol
Mbali na kutakakufanya kolabo na kundi maarufu sana ndani nan je ya nchi Benpol ni pia muigizaji wa tamthilia ya ‘pazia’ inayo onyeshwa katika king’amuzi kilichopo hapa nchini.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post