BATA BATANI: Unapajua  Kilwa Kisiwani

BATA BATANI: Unapajua Kilwa Kisiwani

Tanzania ni nchi iliyojaaliwa sehemu nyingi za kipekee na za kihistoria.

From wild beaches, the big 5 at national park, 2nd tallest mountain in the world, Tanzania ina attraction za kila aina.

Leo katika bata batani ninakuletea sehemu ambayo hivi karibuni ndio imeanza kutizamiwa zaidi, ingawa imekuwepo toka enzi za mababu na mababu.

Wengi wakitaka kusafiri kwende sehemu ambazo zinaonesha vitu vya zamani huwa wanafikiria kwenda Zanzibar ama Bagamoyo, ila leo nakuongezea sehemu mpya kwenye list yako – KILWA KISIWANI.

UTAKAYOYAONA HUKO

Ruins of Kilwa Kisiwani and Ruins of Songo Mnara

The remains of two great East African ports admired by early European explorers are situated on two small islands near the coast. From the 13th to the 16th century, the merchants of Kilwa dealt in gold, silver, pearls, perfumes, Arabian crockery, Persian earthenware and Chinese porcelain; much of the trade in the Indian Ocean thus passed through their hands.

Kama haujawahi kutembelea Kilwa Kisiwani, basi wakati wako ndio huu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post