Barnaba afunguka kuhusu kuvaa nguo za kike

Barnaba afunguka kuhusu kuvaa nguo za kike

Mkali wa muziki Bongo Barnaba Classic amesema anaona amefanya kitu sawa kwenye maisha yake baada ya kuonekana akitrend mitandaoni kwa kuvaa sketi ya kike.

Barnaba Classic anasema haitaji kuelezea sana suala hilo kwa kuwa haliwahusu watu pia kazi yake ya sanaa inaingiliana na mambo ya fashion, kupata comments nyingi na watu kumuongelea.

“Mimi naona nilifanya sawa katika lile vazi na watu waelewe kuwa  ile ni fashion na ni vitu vya kawaida sana, muda ukifika wataelewa kuhusu comment za watanzania wala haziwezi kuniumiza kwani kazi yangu ninayoifanya inaniruhusu kupata hizo comment” alisema

 

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags