Baraka The Prince kuachia EP yake

Baraka The Prince kuachia EP yake

Ohooo!!! Star wa Muziki hapa nchini Baraka the Prience ametoa taarifa njema kwa mashabiki zake juu ya ujio wa Ep yake mpya ya hivi karibuni.

Kutoka ukurasa wake wa Instagram ametoa taarifa hiyo na kuthibitisha jina la EP hiyo kuwa ni The Black Prince kwa kuandika ujumbe uliyosomeka hivi “The best Swahili Ep In 2021.

Hata hivyo katika taarifa yake inaeleza kuwa Ep hiyo itaingia sokoni Rasmi Oktoba 13,2021 hii itakuwa ni Ep yake ya kwanza  tangu aanze safari yake ya muziki.

Au sio ni wakati wa mashabiki wa Baraka the prince kukaa mkao wa kula bhnaaa kwa ajili ya Ep mpyaaa!!.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags