Baba Levo: Dalili ya umasikini ni roho mbaya

Baba Levo: Dalili ya umasikini ni roho mbaya

Mwanamuziki na mtangazaji #BabaLevo amedai dalili za mtu kuwa masikini nifanya roho mbaya isiyo na sababu kwa kushangilia matatizo ya mwenzako.

Akiwa katika Interview na mmoja ya chombo cha habari ameeleza kuwa umasikini unatokana na mtu kutofurahia mafanikio ya mwingine na akipata tatizo unakuwa wa kwanza kufurahia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags