Baba Levo amshusha Alikiba youtube

Baba Levo amshusha Alikiba youtube

Baada ya kufanya mahojiano yake na moja ya chombo cha habari mwanamuzikI Baba Levo alifunguka na kieleza kuwa lazima amshushe Alikiba namba one trending katika mtandao wa youtube.

Hatimaye maneno yake yalitimia muda mchache uliyopita na ametinga katika utawala huo mjini YouTube

Kupitia Instagram yake amemshukuru Mungu na kuwashukuru wote waliyosapoti wimbo wake akiwemo Mh. Nape Nnauye






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags