Aweka rekodi ya kuimba kwa saa 31

Aweka rekodi ya kuimba kwa saa 31

Ewaoluwa Olatunji, maarufu Ewa Cole, (29) ameweka rekodi ya kuimba muda mrefu nyimbo za Christmas ambapo aliimba kwa saa 31 kuanzia Desemba 27 hadi 28, Lagos nchini Nigeria

Ewa ameingia katika kitabu cha rekodi ya duniani cha Guinness World Records (GWR), baada ya kutangazwa kuweka rekodi hiyo na Guinness kupitia ukurasa wao wa X siku ya jana Jumatano Januari 31.

Kufuatiwa na mahojiano aliyoyafanya Ewa alieleza kuwa aliamua kufanya hivyo kwa lengo la kukuza amani, umoja na kuhamasisha vijana kuwa na imani
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags