Aunty Ezekiel atamani kupata mtoto wa tatu

Aunty Ezekiel atamani kupata mtoto wa tatu

Msanii wa filamu nchini, Aunty Ezekiel ameweka wazi hisia zake za kutamani mtoto wa tatu kwa sasa kwani yeye ni mama bora na anaweza vema kutunza familia.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Aunty amethibitisha hilo kwa kuandika “Mimi ni mama bora yawezekana ikawa sio kwako ila kwa watoto wangu mimi ni bora….Thank u God kwa zawadi ya watoto wawili wazuri, natamani wa tatu awe wa kike plz, watoto raha,” ameandika

Aunty ameweka wazi hisia zake kama ilivyo kwa watu wengine huko mitaani ambao wakikutana pamoja kwenye mazungumzo uongea mengi na hayo matamanio.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags