Aunt Ezekiel  : Msishikiane Simu

Aunt Ezekiel : Msishikiane Simu

Muigizaji wa Filamu nchini Aunty Ezekiel amefunguka na kuamua kuwapa ushauri huu hapa Harmonize na Kajala   ili kuhakikisha Penzi lao linadumu .

Aunty Ezekiel amesema ili waweze kudumu wawili hao waache tabia ya kushikiana Simu zao kila mtu abaki na simu yake akaongeza kuwa endapo watafanya hivyo basi Penzi lao Litadumu.

"Ninawombea ndoa yenye amani na baraka zote na kingine kikubwa zaidi ambacho mimi ninahisi wakipita humo mapenzi yao yatadumu kila mmoja wao awe anaishi na simu yake wasishikiane simu mapenzi yao yatadumu katika maisha yao hilo ndio kubwa ninalo wahusia kila mtu abaki na simu yake ayo mengine washirikiane" 

Niambie mdau kauli hii inaukweli ndani yake? Je unapaswa kuogopa simu ya mwenza wako kama kituo cha polisi? Dondosha comment yako hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags