Aucho aiombea Taifa Stars

Aucho aiombea Taifa Stars

Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Uganda na ‘klabu’ ya Yanga Khalid Aucho ameitakia kila la kheri ‘Taifa stars’ katika michuano ya AFCON 2023, yanayotarajiwa kuanza leo, nchini Ivory Coast.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Aucho ame-share picha akiwa ametupia uzi wa Taifa stars iliyoambatana na ujumbe wa kuiombea dua ‘timu’ hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags