Aogopwa kisa kufanana na Naira, Mama yake afariki kwa presha

Aogopwa kisa kufanana na Naira, Mama yake afariki kwa presha

Mwanaume mmoja kutoka nchini Nigeria amedai kuwa amejikuta katika wakati mgumu kutokana na kufanana na mwanamuziki Naira Marley ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kifo cha MohBad.

Mwanaume huyo amedai kuwa watu wamekuwa wakimuogopa hadi amejikuta akipoteza marafiki na watu wa karibu kwa kuwa na hisia mbaya juu yake kutokana na kufanana na msanii huyo.

Hata hivyo anadai mama yake amefariki dunia kwa pressure kutokana na sms, na simu za vitisho alizokuwa akipata kijana huyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags