Antony aangusha kilio akizungumzia sakata la kumpiga Ex wake

Antony aangusha kilio akizungumzia sakata la kumpiga Ex wake

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Manchester United, Antony amefunguka kwa uchungu juu ya sakata lake la unyanyasaji ambapo anatuhumiwa kumpiga mpenzi wake wa zamani.

Akitoa machozi wakati akifanyiwa interview ameeleza kwa hisia kali na kusema hajawahi kutumia nguvu na hatowahi kujihusisha na tabia hiyo ya kutumia nguvu kwa mwanamke.

Ikumbukwe kuwa kutokana na tuhuma hizo za kumpiga ex wake zilipelekea ‘winga’ huyo wa Man United kutolewa kwenye kikosi cha ‘timu’ ya taifa ya Brazil huku nafasi yake ikiwa imechukuliwa na Jesus.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags