Amber Rose: Nililia miaka mitatu baada ya kuachana na Wiz

Amber Rose: Nililia miaka mitatu baada ya kuachana na Wiz

‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani, #AmberRose anadai kuwa anamchukulia WizKhalifa kama mpenzi wake wa maisha kwa sababu kuachana kwao kulimfanya alie kwa miaka mitatu.

Msanii huyo akiwa katika mahojiano na Podcast ya No Jumper ameeleza amekua akijilaumu kuachana na Wiz, hivyo mpaka sasa atabaki kuwa mpenzi wa maisha yake yote ingawa wametengana.

Amber ambaye ana mtoto mmoja na Wiz Khalifa, aliendelea kwa kusema ukaribu ambao wanao kwa sasa kwenye malezi ya mtoto wao pia unatokana na upendo wao wa zamani, wawili hao waliachana mwaka 2014.
.
.
.
#Mwananchi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags