Aliyesoma taarifa ya habari na mtoto mgongoni apongezwa

Aliyesoma taarifa ya habari na mtoto mgongoni apongezwa

Mwanamke mmoja kutoka nchini Congo aitwaye Kapinga Kisamba Clarisse ambaye pia ni mtangazaji wa runinga kwenye moja ya chombo cha habari nchini humo amepongezwa na wadau mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii kufuatiwa na kitendo chake cha ushujaa kwa kusoma taarifa ya habari akiwa na mtoto mgongoni.

Kufuatiwa na tukio hilo wadau mbalimbali wamejitokeza kumpongeza mwanamama huyo huku baadhi ya wanawake wakisisitiza umuhimu wa kina baba kuwasaidia kina mama wanaofanya kazi katika mazingira magumu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags