Albamu ya Nicki Minaj yageuka wimbo wa taifa

Albamu ya Nicki Minaj yageuka wimbo wa taifa

Ikiwa ni masaa matano yamepita tangu rapa kutoka nchini Marekani Nicki Minaj kuachia albumu yake mpya ya ‘Pink Friday 2’ sasa albumu hiyo ina-trend kupitia platform zote nchini Marekani.

Media mbalimbali zinaeleza kuwa albumu hiyo kwa sasa imekuwa kama wimbo wa taifa kufuatiwa na ku-trend kwake kila kona.

‘Pink Friday 2’ ni albumu yenye nyimbo 22, huku baadhi ya wasanii walioshirikishwa ni Drake, Jcole na wengineo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags