Akon: Ukitaka kutajirika kuwa bahili

Akon: Ukitaka kutajirika kuwa bahili

Mwanamuziki Akon ametoa ushauri kwa watu ili waweze kutajirika ni lazima wawe wabahili.

Akon akiwa kwenye podcast ya #Impaulsive amesema, kama mtu anataka kutajirika basi lazima uwe mbahili na sio kutumia pesa hovyo, huku akijitolea mfano na kudai kuwa yeye ni bahili kupita kiasi.

Hata hivyo Akon amesema huwa anashauri watu  waone pesa walizonazo hazitoshi, anadai mtu akifikiria hivyo basi uwezo wake wa kusimamia vitu vyake utakuwa mzuri lazima utabadilika.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags