Akon afunguka tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 13

Akon afunguka tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 13

Baada ya mtayarishaji mkongwe wa muziki kutoka nchini Marekani #SugeKnight kudai kuwa mwanamuziki na mfanyabiashara Akon aliwahi kumbaka binti wa miaka 13, hatimaye, muimbaji huyo amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusiana na jambo hilo

Kufuatia mtando wa #X wa #Akon ameandika kuwa “Ulimwengu unafahamu uongo pale tu wanapo usikia, inahudhunisha, kudhalilisha na kutia aibu sana bila kujali historia yetu lakini bado nitaendelea kumuombea”

#SugeKnight, ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka 28 jela kwa kuua bila kukusudia, aliyasema hayo kupitia #Podcast mpya ya ‘Collect Calls’ ambayo imezinduliwa na #Knight kutoka gerezani.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags