Afisa Habari wa Prisons akanusha kuahidiwa pesa  mechi leo

Afisa Habari wa Prisons akanusha kuahidiwa pesa mechi leo

Kufuatia taarifa zinazosambaa zikidai ‘klabu’ ya Tanzania Prison imeahidi dau la pesa kwa ‘timu’ hiyo endapo wataifunga Simba leo katika mchezo utakao fanyika uwanja wa Sokoine, Prison wakanusha.

Afisa habari wa ‘klabu’ hiyo Jackson Mwafulango amekanusha taarifa hiyo kuwa ‘klabu’ hiyo haijaahidi, pesa hizo kama inavyo semekana.

Mwafulango amewataka wapenzi wa soka kuipuuza taarifa hiyo chonganishi kwa viongozi na wachezaji wa ‘klabu’ hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags