Afariki dunia akishuhudia afcon

Afariki dunia akishuhudia afcon

Inadaiwa kuwa mwanasiasa kutoka nchini Nigeria Dkt. Cairo Ojougboh, alifariki dunia siku ya jana Februari 7, wakati akishuhudia mchezo wa nusu fainali ya #AFCON, Nigeria dhidi ya Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo vinaeleza kuwa Ojougboh alianguka ghafla baada ya Afrika Kusini kufunga bao la kusawazisha kwa mkwaju wa ‘penati’.

Aidha ‘timu’ yake ya Taifa ya Nigeria ilifanikiwa kushinda na kutinga hatua ya fainali kwa mikwaju ya penati.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags