Aaron Paul aituhumu Netflix kuingia mitini na mirabaha yake

Aaron Paul aituhumu Netflix kuingia mitini na mirabaha yake

Muigizaji kutoka nchini Marekani, Aaron Paul amedai kuwa kampuni ya kuuza ‘movie’ Netflix haijamlipa mirabaha yake kutoka katika tamthilia ya Breaking Bad.

Tamthilia hiyo inakadiriwa kuwa ndiyo tamthilia inayofatiliwa zaidi kupitia mtandao huo wa kuonesha movie, mwamba huyo anadai kuwa hajapokea chochote kutoka katika kazi yake hiyo.



Aidha Paul na waigizaji wenzake akiwemo Bryan Cranston na Jesse Plemons waliungana kufanya mgomo wakidai malipo bora kwa kazi zao zinazooneshwa kwenye Tv na Kampuni za kuonesha tamthilia hiyo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags