50 Cent aendelea kawaganda Michael Jackson na Chris Brown

50 Cent aendelea kawaganda Michael Jackson na Chris Brown

Rapper 50 Cent kutoka nchini Mrekeni ameendelea kuzungumzwa kwenye midomo ya watu kutokana na matukio mbalimbali anayoendelea kuyafanya tangu week iliyopita, awamu hii ameanza week na madai ya kuwa kwa kipindi hichi ChrisBrown ndiyo msanii bora zaidi.

50 kupitia picha yenye sura ya ChrisBrown na Michael Jackson aliyo-post Instagram ikionesha #Mj akimkabidhi taji #Chris ameweka ujumbe wake kwenye kudai kuwa hakuna mtu anayeweza kusema ukweli kuwa ChrisBrown ndiyo masanii bora, lakini yeye pekee ndiyo anasema.

Ikumbukwe kuwa hii sio mara ya kwanza kwa rapper huyo kuongelea uwezo wa ChrisBrown na kuulinganisha na wa Michael Jackson, hivyo basi kutokana na picha aliyo-post watu wameendelea kuitafsiri kuwa anaendeleza kuwashindanisha wasanii hao.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags