21 Savage kufanya tamsha nchi aliyozaliwa

21 Savage kufanya tamsha nchi aliyozaliwa

‘Rapa’ 21 Savage ametangaza kufanya tamasha lake la kwanza katika nchi aliyozaliwa ambapo onesho hilo linatarajiwa kufanyika katika uwanja maarufu wa O2 nchini London.

Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika Novemba 30, mwaka huu na litakuwa la siku mbili ambapo ‘tiketi’ zinatalajiwa kuanza kuuzwa Oktoba 13.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags