‘Kocha’ wa NBA afariki

‘Kocha’ wa NBA afariki

Habari za kusikitisha kwa wapenzi wa mpira wa vikapu, ‘kocha’ mkongwe wa NBA kutokea nchini Marekani, Brendan Malone amefariki dunia siku ya Jana akiwa na umri wa miaka 81.

Malone aliwahi kusaidia kupanga Sheria za Jordan zilizotumika kuwashinda Chicago Bulls na alikuwa mfanyakazi wa ‘timu’ za Bad Boy Detroit Pistons ambazo zilishinda fainali mwaka wa 1989 na 1990.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags