Zuchu: sijali mtu akisema ngozi yangu

Zuchu: sijali mtu akisema ngozi yangu

Baada ya nyota wa muziki #Zuchu kushambuliwa na watu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu ngozi yake kuwa na  madoa, huku wingine wakimtolea maneno ili  aweke ngozi yake vizuri kwa vipodozi.

 #Zuchu ameshindwa kuvumilia mashambulizi na kuamua kuwajibu wanaotoa maneno dhidi yake, kupitia #Instastory ametoa majibu hayo kwa kuandika,

“Napaka mafuta ya nazi and this is my skin nature mimi sio mdoli na ndio maana nina makovu na sijali mtu akisema ngozi yangu ni mbaya I feel like human being

Wengine wanahisi ili mtu awe na 'skini' nzuri mpaka ajichubue sina ubaya wakasha wala uzuri wa sifa siutaki kwenye hii dunia ya social media kila mtu mjuaji.”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags