Zuchu ashangazwa na wasanii wanaonunua views

Zuchu ashangazwa na wasanii wanaonunua views

Kumekuwa na tetesi za kuwa kuna baadhi ya wasanii hutumia pesa ili waonekane wana watazamaji wengi kwenye mtandao wa #YouTube, kutokana na swala hilo kwa mara ya kwanza mwanamuziki Zuchu ametuma ujumbe kwa wasanii wenye tabia hizo.

Zuchu ameonekana kushangazwa na baadhi ya wasanii nchini wenye tabia ya kununua viewers.

Kupitia #InstaStory yake Zuchu ameandika,

“Nawaza kama msanii unajisikiaje kununua viewers ni kama unakuwa unajua nafasi yako ila ndo ivo tena unaificha ficha kimoyo moyo unajisikiajee yani only in Tanzania”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags