Zuchu arudi darasani Mbeya

Zuchu arudi darasani Mbeya

Kama kawaida ubunifu unaendelea huku kila mwanamuziki akiumiza kichwa kuonesha uwezo mkubwa akiwa ‘stejini’ akiwa anatumbuiza.
 
#Zuchu moja kati ya msanii aliyeonesha makeke yake ya kulibadilisha jukwaa kuwa darasa akiwa kama mwanafunzi wa shule ya msingi, amevalia sare za shule jukwaani na kuwapa burudani watu wa Mbeya usiku wa kiamkia leo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags