Ziara ya The Weeknd ni babu kubwa

Ziara ya The Weeknd ni babu kubwa

Ziara ya mwanamuziki kutoka nchini Canada The Weeknd ya ‘After Hours til Dawn’ imedaiwa kufikia hatua bora na kuifanya kuwa ziara yenye mafanikio zaidi ya kifedha ya msanii mweusi katika historia ya Marekani.

Ambapo inaelezwa kuwa ziara hiyo ilizalisha dola 158.1 milioni kutokana na mauzo ya tiketi milioni 1.639 katika maonesho 30.

The Weeknd anatambulika kupitia ngoma zake mbalimbali ‘Save Your Tears’, ‘Blinding Lights’ , Call out my name’ na nyinginezo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags