Zaidi ya ngoma 15,000 za Chris Brown zipo kwenye kibubu

Zaidi ya ngoma 15,000 za Chris Brown zipo kwenye kibubu

Mwimbaji kutoka nchini Marekani Chris Brown amefunguka kupitia mahojiano yake na moja ya podcast nchini humo kuwa mpaka sasa zipo zaidi ya nyimbo 15,000 ambazo bado hajaziachia.

Breezy ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kuhusiana na  nyimbo zake zipi tatu anazipenda zaidi? ndipo akashindwa kuzitaja moja kwa moja na akaeleza kuwa ana zaidi ya ngoma 15,000 na kati ya hizo kwenye simu yake anazo 800 na muda wowote akitaka kutoa wimbo anachagua tu, hivyo basi tutegemee kumsikia sana karne na karne.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags