Young Dolph afariki dunia kwa kupigwa risasi

Young Dolph Afariki Dunia Kwa Kupigwa Risasi

Ebwana eeh!! Rapa kutoka nchini Marekani Adolph Robert Thornton   maarufu Young Dolph mwenye umri wa miaka 36 ameuawa Kwa Kupigwa Risasi Mtaani Kwake Memphis wakati alipokua anatoka Dukani.

Rapa huyu imeripotiwa kuwa amepigwa risaisi wakati alipokuwa akinunua Cookies katika Duka ambalo anatajwa kuwa wiki moja kabla alifika mahala hapo.
Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Janeth Jovin

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on business, money management on Tuesday and health on Thursday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include KARIA and FASHION.

Latest Post