YOUNG DEE, STEVE RNB WANA JAMBO LAO

YOUNG DEE, STEVE RNB WANA JAMBO LAO

Ohoo!! Mambo yametaradadi bwana kwa msanii Young daresalama pamoja na Stevernb huenda wakaachia ngoma siku za hivi karibuni.

Nikwambie tu kuwa hii imekuja baada ya Young dee kupost kipande cha video kupitia Insta Story yake akiwa studio na Steve jambo ambalo limewaminisha mashabiki wao huwenda kuna wimbo wa pamoja unakuja.

Ebwana eeh sio pouwa tuamjbie kwa upande wako mdau unaonaje kollabo hiyo? Tupia comment yako






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags