Young Dee afungua studio yake mwenyewe

Young Dee afungua studio yake mwenyewe

Moja ya story inayobamba katika mitandao huko ni ya Rapa Young Dee maarufu kama Young Dar es Salaam kutangaza kufungua studio yake mpya.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo ameuthibitishia umma kuwa amefungua studio ambayo mbali na kurekodi muziki itatumika pia kufanya soundtrack za vipindi na tamthiliya.

“Dream City iko live now, tunarekodi muziki, soundtrack za vipindi na tamthiliya,” amesema Young Dee

Katika taarifa yake hiyo, pia amesema kwamba studio hiyo haitarekodi muziki na soundtrack mabli na kazi zingine mbalimbali.

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post