Yanga waweka bango la 7-2 fire

Yanga waweka bango la 7-2 fire

Baada ya ‘klabu’ ya Yanga kuweka bango la ushindi wa bao 5-1 dhidi ya watani wao Simba, na sasa wamerudia kile kile ambapo wametengeneza tena bango la ushindi wa 7-2.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Meneja wa Habari na Mawasiliano Yanga, Alikamwe ame-share bango hilo ambalo limewekwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam.

Ikumbukwe kuwa matokea hayo ni ya ‘mechi’ mbili kati ya Simba na Yanga ambapo mchezo wa kwanza ulichezwa Novemba 5, 2023 ambapo yanga waliondoka na ushindi wa mabao 5-1, mchezo wa pili ukichezwa April 20, 2024 ‘mechi’ iliyotamatika kwa mabao 2-1.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags