Wolper: Nimemruhusu mume wangu achepuke

Wolper: Nimemruhusu mume wangu achepuke

Mwanamitindo na muigizaji Jacline Wolper kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni na moja ya chombo cha habari amesema kuwa anamruhusu mume wake achepuke na watu wenye faida.

Katika maelezo yake amesema kuwa , “aendelee kupambana na akumbuke kuwa sasa hivi sio Rich ni Baba P kwahiyo kama kuna vitu vyovyote, ajiheshimu akichepuka atumie kinga, namruhusu achepuke apige vyombo afanye mambo lakini tumia kinga, lakini pia usichepuke na mtu ambaye huna faida naye,”

Vipi wewe unaweza kuruhusu mpenzi wako achepuke?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags