Wizkid atajwa tuzo za grammy

Wizkid atajwa tuzo za grammy

Moja kati ya story kubwa huko mitandaoni ni ya msanii wa muziki kutokea Nigeria, Wizkid kutajwa kwenye tuzo kubwa duniani katika vipendele viwili tofauti.

Kipendele cha kwanza alichotajwa msanii  huyo ni Best World Music Album kupitia album yake ya Madeln lagos Deluxe.

Pia katika kipengele cha pili Wizkid ametajwa kuwania tuzo ya Best Global Music Performance kupitia wimbo wake wa Essence aliyomshirikisha msanii Temsbaby.

Unajua na wewe ni mpenzi wa hizi tuzo hebu tuambie unatamani kuona msanii gani kwa siku za mbeleni anatajwa kuwania katika moja ya tuzo.

Tupia maoni yako katika ukurasa wetu wa Instagram ambao ni @MwananchiScoop..






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags