Wine yatiririka mtaani baada ya Matenk  kupasuka

Wine yatiririka mtaani baada ya Matenk kupasuka

Wakazi wa mji wa Soa Lorenco De Bairro wapatwa na sintofahamu baada ya kiwanda cha kutengeneza pombe cha Levira kutiririsha wine barabarani huku wakieleza kuwa tukio hilo limetokea baada ya matenki mawili ya kiwandani hapo kupasuka.

Mapipa hayo yalikuwa yamebeba lita milioni 2 za wine kupasuka na kuzua taharuki katika barabara za wakazi wa eneo hilo.

Inaelezwa kuwa wingi wa wine hiyo inakadiriwa kuweza kujaza bwawa la kuogelea la Olimpiki (bwawa la mashindano mashindano ya kuogelea).
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags